New Jobs at Tume ya Uchaguzi NEC

Tags


NEC Various Jobs April 2024 : The National Electoral Commission (NEC) of Tanzania has officially transitioned to the Independent National Electoral Commission (INEC) as of April 12, 2024. This renaming follows a recent legislative amendment aimed at restructuring the functions and structure of the electoral authority to enhance the efficiency and transparency of electoral processes in Tanzania.

Recommended:

The changes were endorsed by President Samia Suluhu Hassan after approval by the Parliament. The renaming reflects the implementation of the newly enacted laws, including the INEC Act No. 2 of 2024.

NEC Various Jobs April 2024

DOWNLOAD PDF FILE HERE

DEADLINE APRIL 27 2024

 • SIFA ZA MWOMBAJI WA NAFASI YA MWANDISHI MSAIDIZI

 • Awe ni raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
 • Awe amehitimu elimu ya kidato cha nne au zaidi na anajua kusoma na kuandika katika lugha ya Kiswahili au Kiingereza;
 • Awe mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta au simu janja (Smartphone);
 • Awe ni mkazi wa mtaa au kijiji katika kata anayoomba kuwa mwandishi msaidizi;
 • Asiwe kiongozi au kada wa chama cha siasa; na
 • Awe ni mwadilifu na mtiifu.

SIFA ZA MWOMBAJI WA NAFASI YA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI

 • Awe ni raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
 • Awe amehitimu elimu ya kidato cha nne au zaidi na anajua kusoma na kuandika katika lugha ya Kiswahili au Kiingereza;
 • Awe mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta au simu janja (Smartphone);
 • Awe ni mkazi wa mtaa au kijiji katika kata anayoomba kuwa mwendeshaji wa kifaa cha bayometriki;
 • Asiwe kiongozi au kada wa chama cha siasa; na
 • Awe ni mwadilifu na mtiifu.

MALIPO
Malipo yatakuwa kama ifuatavyo:-

 • Kwa siku za uboreshaji wa Daftari vituoni waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki watalipwa posho ya Shilingi 50,000/= kwa siku na nauli Shilingi 10,000/=.
 • Wakati wa mafunzo, waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki watalipwa posho ya Shilingi 50,000/= na nauli Shilingi 10,000/= kwa kila siku ya mafunzo.

JIUNGE NA TELEGRAM CHANNEL YETU HAPA