Friday, July 17, 2020

TAMISEMI: Online Ajira Application System

  Nophsky       Friday, July 17, 2020

TAMISEMI Ajira Application System | ajira.tamisemi.go.tz, Ajira Za Afya TAMISEMI 2020,  Ajira Za Ualimu 2020, Government Teachers and Health Jobs

TAMISEMI OnlineAjira Application System. The role of TAMISEMI is to coordinate and supervise regional development management and administration.  TAMISEMI coordinates rural and urban development management policy and strategies; coordinates Regional Secretariats activities and builds their capacity in institutional development strategies for integrated socioeconomic development and financial development of Local Government Authorities.

Recommended:
Free CV Writing and Download, Cover/Job Application Letters, Interview Questions and It's Best Answers plus Examples. Click Here

IMPORTANT TO ALL APPLICANTS FOR TAMISEMI AJIRA 

 Registration of applicants
 •  Each applicant must register by filling out important information such as form number four, year of completion, applicant’s name, telephone number and applicable email address.
 •  Every applicant must register immediately.  The system will not allow you to register and send more than one application.
 •  Make sure all the information you complete is verified before you go to another feature.
Personal information
 •  Names that will be filled in the personal information section should be as they appear in the professional certificates.
 •  Form four and six exam numbers should be written in accordance with the S0123-0001 or P0123-0001. Examination numbers. Make sure the number you are using is correct.
Export of documents
 •  You are required to attach documents for each professional information, work license and birth certificate.
 •  The certificate being sent makes sure it is not larger than 2 MB.
 •  The application letter should be addressed to the Chief Executive Officer, the Presidency.
 • All attachments of important documents needed in the system should be in PDF format only.
Read Also:
NEW JOB OPPORTUNITIES (1,416+ POSTS)


PLEASE READ CAREFULLY INFORMATION BELOW BEFORE STARTING THE APPLICATION PROCESS

New Applicant
 1. If you are new applicant use “New Applicant” or Register link to begin application process. Then follow the steps to complete your appliction.
 

REGISTRATION PAGE TAMISEMI JOB APPLICATION SYSTEM
If you already have an account
 1. Enter your form four Index Number (username) and Password to login.
 2. After successful login, complete the Application form and submit.
 3. Remember to Login to check your Application Status.

 
 
LOGIN PAGE TAMISEMI JOB APPLICATION SYSTEM
Read Also:
NEW JOB OPPORTUNITIES (1,416+ POSTS)

REMEMBER:
Your Form Four Index Number and any other used Certificates should be VALID as they will be verified before you are selected.

INVALID NUMBER WILL LEAD TO REJECTION OF YOUR APPLICATION

logoblog

Thanks for reading TAMISEMI: Online Ajira Application System

Previous
« Prev Post

77 comments:

 1. Hebu tuwe smart jamani,ajira za walimu zimetangazwa lkn hawajaruhusu mfumo ili watu waombe. Sasa hapa naona kama tunaongopeana

  ReplyDelete
 2. Habari?mbona upande wa kujisajiri kuna kipengele cha afya tu walimu sijaona au zamu ya walimu bado naomba kujua tafadhari,asante
  emaluseko@gmail.com

  ReplyDelete
 3. Mimi nilivoelewa Ni kuscan vyeti kwa mfumo wa PDF then isozidi MB 2. Na kutulia kusubiri post zitangazwe

  ReplyDelete
 4. Taarifa za kizushi hakuna tangazo kama hili kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI , niombe zitakapotoka pitia www. tamisemi. go. tz pekee ndipo utapata maelezo yote.

  ReplyDelete
 5. Nafikir Leo wametufungulia dirisha au jamani
  Mi sielewi aise nmechoka huku mtaani na mtaji wangu wa maarifa

  ReplyDelete
 6. Hapo sijaelewa tunajitahidi KWANZA au tunascan vyeti tu?

  ReplyDelete
 7. The information will always be valid if posted on the official website of TAMISEMI ...www. tamisemi. go. tz as the update.

  ReplyDelete
 8. tusubirie papara hazifai usje ukaharibu mambo

  ReplyDelete
 9. Duuuuu!kurushana roho tuu jamani

  ReplyDelete
 10. Mbna zinaonyesha za wafanyakazi wa afya

  ReplyDelete
 11. Jamani wakitangaza rasimi tujulishane utaratibu unaendaje

  ReplyDelete
 12. Robin Mathias nimesomea ualimu wa geography na history nauzoefu wa kufundisha shule yoyote 0755531620

  ReplyDelete
 13. Robin Mathias nimesomea ualimu wa geography na history nauzoefu wa kufundisha shule yoyote 0755531620

  ReplyDelete
 14. Kwa hiyo tuliyojitolea ndo barua zimetupiliwa mbali ama??? Mana duuuh

  ReplyDelete
  Replies
  1. nadhani ndo imeisha hivyo, inauma lakini maana walitutia moyo sana

   Delete
  2. Jmn unaweza ukaambatanisha barua kutoka kwa Mwl mkuu km CV yako

   Delete
  3. Kumbe tunaweza kufanya hivo pia??

   Delete
 15. Dirisha litafunguliwa j.3,Tatar kuomba

  ReplyDelete
 16. Replies
  1. nadhani itakuwa hivyo maana ni muda mrefu wanasema OTEAS itatumika

   Delete
 17. Hello admin, hiyo link nadhani inahusiana na afya, nadhani taratibu sahihi za application kupitia OTEAS walizitoa TAMISEMI kupitia YOUTUBE

  ReplyDelete
 18. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 19. Vyeti vyote visizidi 2 MB au ni kila cheti kimoja?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Duh iyo ngumu mbona sijui kuna namna gani ya ku scan visizidi

   Delete
  2. Mbona inawezekana kuscan vyeti na vikawa chini ya mb2

   Delete
 20. Huo mfumo kesho si utakuwa bize sana

  ReplyDelete
 21. Wadau tuwe wa kweli ucje poteza watu ndg yangu

  ReplyDelete
 22. update yoyote kuhusu hizo ajira jaman tujulishane!!

  ReplyDelete
 23. Kwan ilo dirisha limeshafunguliwa au bado

  ReplyDelete
 24. Ombeni nafasi hizo acheni kulalamika jamani

  ReplyDelete
 25. Mmmh had sangap jaman maana co kwa hyo dhauku

  ReplyDelete
 26. jamani nyie mmeona imefunguliwa au matatzio ya simu yangu

  ReplyDelete
 27. jamani nyie mmeona imefunguliwa au matatzio ya simu yangu

  ReplyDelete
 28. Jaman Kuna walio fanikiwa ku login OTEAS?

  ReplyDelete
 29. mimi sijaona chochote wapendwa. naomba link kama ipo

  ReplyDelete
 30. Mbona wengine hatuoni chochote TAMISEMI msaada jaman plz

  ReplyDelete
 31. Mbona wengine hatuoni chochote TAMISEMI msaada jaman plz

  ReplyDelete
 32. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 33. Je mfumo huo wa maombi unaruhusu walioitimu mwaka huu Greg A certificate, ambao vyeti havijatoka ,na watatumia kiambatanisho gani Cha kitaaluma?

  ReplyDelete
 34. jamani hizi ajira zikiwa sawa mnijulishe mana leo nina siku nne sijalala nasubiria mfumo uwe sawa na haujawahi kuwa,,,,,,,,,,,,,mnisaidie wapendwa.. nina njaa sana na kazi za ualimu.

  ReplyDelete
 35. Chombo kwa hewaaa

  Changamoto namba ya nida

  ReplyDelete
 36. mbana link haifunguki wanasumbua sana hawa watu

  ReplyDelete
 37. Jaman msaada kwa aliyefanikiwa kufungua link

  ReplyDelete
 38. Dah Kaz kweli n kaz kuipata km lilivyo jina lake

  ReplyDelete
 39. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 40. Nipo Arusha SAA Tisa usiku sasa mwingine wa Kilimanjaro kaniambia mtandao upo active ila kwangu bado msaada jamani sijui nn shidah

  ReplyDelete
 41. This comment has been removed by sender

  ReplyDelete
 42. Jaman ajira wametangaza na nimeomba nikafanikiwa

  ReplyDelete
 43. Jaman anuani Yao naomba msaada tafadhali

  ReplyDelete
 44. Najaeibu lakin inanijibu "
  "unauthorised user" shida ni nn kwa mnaofahamu jamani

  ReplyDelete
 45. Shida yako kama yangu yani mpk nimechoka kila saa narudia kujaza afu naambiwa “unauthorised user”

  ReplyDelete
  Replies
  1. Unauthorized user tatizo hili linatokaje jamani msaada

   Delete
 46. Jamani habr za sahizi ....mm naomba kuuliza mwenye kujua hili swala la kwamba lazima uendw mahakamani uhape wakupe form thn na yenyewe uambatanisheee

  ReplyDelete
 47. Mie niliomba lkn ck niliomba kulikuwa baadhi ya masomo haya po yamekuja kuwekwa nishaomba na kubadili siwezi inakuwaje hapo

  ReplyDelete
 48. jaman mi kila nikitaka kulogin ninaambiwa unauthorised user, tatizo ni nini?

  ReplyDelete
 49. Huku Tunduma mtandao unasumbua sana, hasa ukifika pale pa kuchagua mikoa

  ReplyDelete
 50. Hii ndo bongo, kusoma shda, kupataka kaz shda yan shida tupuuu

  ReplyDelete
 51. unathorized user iko kwa sababu gan na itatokaje ili twendelee na kazi

  ReplyDelete