Collections of New Jobs From Different Institutions, Companies and NGO's


We’ve Listed them Below based on several factors, including salary, job outlook, education requirements and Market needs....Use the Links below the description to apply New jobs opportunities Available to day

How to apply for the Jobs? | What You Need to Apply?
To apply for a job online/offline and to complete online job applications, you’ll need : Internet access, an email address to use for job searching, an up-to-date resume, a cover letter for some jobs, your employment history, and your availability to work if you’re applying for a part-time job.
Before starting your application

Remember to;
  • Read throughout the post and understand it
  • Know Job Requirements, Responsibilities and qualifications
  • Note down Employer,Location Priorities,Salary scale, and Application deadline so that you won’t apply for expired Jobs
  • Prepare an effective cover letter and cv that reflects Job advert requirements and your Qualifications 
  • Then, Prepare Your Resume and Cover letter
Before you start looking for jobs and completing online/offline job applications, you’ll need an updated version of your resume ready to upload/send. You may also need a cover letter to apply for some jobs.
The information in this site comes from a variety of sources, including the Company websites, Job Boards, Institutions Websites, and others. Use the Links below to Choose the best Job of your interest
CLICK ON THE JOB TITTLE BELOW TO READ THE FULL DETAILS OF A VACANT

    Be cautious: Never pay for securing a job: No Real employer seeks any fee from a job-seeker at any stage of the hiring process.EXPRESSTZ does not charge candidates for job applications or job offers. expresstz.com is committed to ensuring that all job ads on our site are for legitimate job opportunities. Report (expresstzinfo@gmail.com)any employer asking Money from you.  

    Note:This page refresh itself automatic to load new job vacancies and other updates,keep visiting Every time..
    CLICK HERE TO JOIN WHATS APP GROUPS
    https://bit.ly/WHATSAPP_GROUPS

    How to write an application letter for a job?

    Have no idea what facts to include about your working experience and how to prove that you are a real professional? The following guide will give you all the needed information.

    An application letter, also known as cover letter has to be sent or uploaded with a curriculum vitae. The CV has to contain an account of your previous career path, list of skills and abilities, while the cover letter contains an explanation for your future employer why you are the best candidate.
    At first it may seem as a very difficult task, but if you divide the process in a couple of steps, it would be way easier to complete.

    Getting started.
    Start with a brainstorming process. Take a piece of paper and a pen and write all the information that you want to include in the cover letter. Don't forget that there is a limit in the cover letter, and you don't have to include every single fact from your job experience. Choose the most significant achievements ans skills and describe them.Analyze the job vacancy and figure out what the employer is looking for. If it is said that a leader is needed, describe cases when you have showed your leadership skills.

    How to write an application letter for a job vacancy guide. 
    The writing process of a cover letter requires some accuracy and attentiveness. Remember that application letter has to be one page long. Don't forget to put space between each new paragraph. Don't experiment with the fonts, as cover letter is a serious document. Standard Times New Roman font will be an excellent choice, the size between 10 and 12.

    Cover letter structure.
    Your application letter has to include a heading, polite greeting, main part of the letter (three paragraphs), polite close and your personal signature.

    Sounds difficult? Don't worry, you will find plenty of cover letter templates in the Internet and one you can find in the following article. A proper example will help you to save plenty of time, especially if you have to write a lot of cover letters.

    Don't forget to edit your letter in the end. Correct all grammatical and spelling mistakes, add missing information etc. Make you cover letter ideal.
    Try to include all your most essential skills and achievements in the cover letter

    Example of how to write an application letter
    Use the following example and edit it to make it your-own. A perfect cover letter should include information, that will show the HR manager that you are a perfect candidate for this position. How to write an cover letter - won't be a difficult question for you anymore.

    Topic of the e-mail. Sales manager position - Your name.

    Email message:

    Dear HR Manager/ Dear Sir/Madam,

    I am highly interested in the position of a sales manager, that you have posted on (type the source, where you have found the job vacancy). The description of job responsibilities, fully matches my working experience, and I am really thrilled to send my CV for your approval.

    As a sales manager at (write the name of the company, that you have worked for) I used to design and implement business strategy plans, that had increased the number of company's customer base by 30 percent. I have also built strong, long-lasting customer relationships.

    While working at (write the name of the company, that you have worked for) as a sales manager, I used to make sales, revenue and expenses reports and forecasts for the management team.

    I have also attached my curriculum vitae. If you have more questions about my job experience and skills, I will be happy to provide you with all the needed information.

    Looking forward your e-mail.

    Thank you for your time.
    Sincerely yours,
    (Your Name)

    How to write an application letter? Now you know how!

    How to Write a Winning Resume/CV That Will Land You a Job Interview | Tips 2019
    Knowing how to write a resume is vital for acquiring a new role. A resume is your personal marketing document, designed to ‘sell’ your skills and abilities to a potential employer. Additionally, research suggests that employers scan resumes within 20 seconds, so it’s important to quickly demonstrate why you are the best fit.
    Use these tips for writing a resume to help you land a job interview. Then have a look around our best resume and CV advice. 

    Mirror the job description
    Show a clear match between your skills and the role requirements by using the same terms and language as the job description. Clearly demonstrate how you meet the key skills, experience and attributes the employer is looking for by emphasising your most relevant strengths. Finally, eliminate details from your resume that are unrelated to the position to keep it concise. 

    Focus on your achievements
    When you write a resume, it should focus on the unique accomplishments that make you stand out. Demonstrate how you contributed to the organisation; did you save money or time, exceed targets, solve problems, improve processes, or attract new customers? Where possible, quantify how you added value with numbers, percentages or dollar amounts. 

    Ensure your resume makes for a compelling read
    The tone of your resume should be enthusiastic, upbeat and professional. Put your strongest and most relevant points first, using action words such as ‘completed’, ‘developed’ and ‘managed’, and superlatives such as ‘first’, ‘best’ and ‘highest’. Presenting your accomplishments confidently using high-impact words are key components in how to make a resume extremely compelling for your reader. 

    Use a practical CV structure
    There is no ‘perfect’ or ‘correct’ way to structure a resume, but you should always ensure that it is laid out in a practical and easy-to-follow format. For example, your basic details (name, address, phone number, mobile number and email address) should be clearly listed on the front page. Next, list your training and/or education with the most recent studies first. Finally, list your career history in reverse chronological order, including your job title, company name, start and finish dates, key responsibilities, and accomplishments for each role. At the end of your resume, it is standard to include your references, or note that you have references available on request if required. 

    Use clear formatting
    Keep the layout of your resume simple with lots of white space, bulleted information where possible and a plain, readable font. This will ensure that your resume stands out. Three or four pages are usually sufficient, and it’s important to use clear, concise language. It’s also a good idea to ask a meticulous friend or family member to proofread your resume for you.
    Make a strong impression on prospective employers with a well thought out resume, and professional cover letter.

    Summary: 
    It’s vital to know how to write a CV, as it will form the first impression your future employer will have of you. Write a good resume with these quick tips:
    · Match your skills with the job requirements
    · Structure and format your CV appropriately
    · Confidently highlight your skills and achievements

    122 Comments

    1. Naitwa james napatikana dar-es-saalam.m in dereva pia ni fundi magari nauzoefu wa kutosha kwenye sekta zot
      e mbili so nilikua naomba ajira itakapotokea

      ReplyDelete
    2. Naitwa sixtus chembe napatikana mtwara ni community health worker nina ujuzi wa kufanya kazi katika hospital yoyote ile naomba ikitokea ajira niambieni

      ReplyDelete
    3. Naitwa plania sanga kutoka morogoro nimesoma fani ya utunzaji kumbukumbu na nyaraka.....atakaesikia fani hii niambieni

      ReplyDelete
      Replies
      1. Sanga nitafute Whatsapp
        0621705545

        Delete
      2. Naitwa Kisaka Mwaya kwa sasa niko Namanga natafuta kazi ni Gardens pia ni nimesomea kilimo,na Electronic Engineering popote mkisikia anaye nihitaji maana nikonatafuta kazi hasa kilimo na Mazingira tuwasiliane kwa namba 0754889300,0754438027 asante

        Delete
      3. Sanga nitafute whatsap 0774673910

        Delete
      4. Nitafute kwa whatsap 0774673910

        Delete
    4. Naitwa Janet kutoka Arusha nimesomea Rural development planning atayesikia ajira hiyo tafadhali naomba anijilishe

      ReplyDelete
    5. Naitwa James napatikana mwanza nmemalza chuo Cha serikali za mitaa hombolo naomba kazi

      ReplyDelete
    6. Naitwa France efraim kayinga napatikn sumbawanga nimesomea fani ya maendeleo ya jamii atakae sikia Nazi yoyote inayohusiana na maendelo naomba anijulishe please phone number 0620389350

      ReplyDelete
    7. Mimi naitwa mpoki Mwanguku natokea tunduma niudhoefu kwamdamlef naomb job

      ReplyDelete
    8. naitwa hassan mabruck ni driver nauzoefu mkubwa sana kwenye hiyo sekta naishi dar as sallam 0653835577

      ReplyDelete
    9. Naitwa julius john ni muendeshaji wa mtambo aina ya excavator naishi dodoma naomba ajira kam itatokea 0710740767

      ReplyDelete
    10. Naitwa HEMEDI MANELA naishi lindi mjini ni fundi wa taili yani tyreman ninauzoefu wa zaidi ya miaka mitano 5 lakini pia ni fundi weldingi and metal fabrication,grander operations naomba kazi namba zangu ni 0688145163

      ReplyDelete
    11. Naitwa Isaya Salema Ni Dereva Nipo Dar es salaam,
      Nina cheti cha 4m 4,
      Cheti cha Ufundi stadi (VETA)
      Na cheti Cha COMESA
      Na pia nina Leseni inayotambulika na serikali
      Nina uzoefu wa miaka mitano mpaka sasa
      Ninaomba kazi
      Namba zangu ni +255 752 628 502.

      ReplyDelete
    12. Naitwa innocent Izack Natai ni ni fundi wa magari ( mechanical yani MVM )
      Napia ninachet Cha VETA na nimuhitimu wa wafunzo stadi level three
      Napia ninauzoefu wa ufundi zaidi ya mwaka moja na pia nidereva mwenye mafunzo ya veta
      Namba zangu za cm +255652281135
      Nipo morogoro

      ReplyDelete
    13. My name is Anna Aniseth.form four education. I have computer certificate and hotel management certificate
      I have enough experience both hotel with computer.
      I'm dar es salaam
      My phone number 0653864604

      ReplyDelete
      Replies
      1. Nichek nikupe maelekezo sahihi jinsi yakufanya 0692201355

        Delete
      2. I have the same certificate can I get information too??? Three years experience in Kilimanjaro international airport

        Delete
    14. My name is Erasto Mollel
      I have enough experience in Accounting/Finance and Logistics For more than 8 years. Holding Bachelor level of education
      Experience in construction industry.
      My contact 0717787497
      Dar

      ReplyDelete
    15. Naitwa Phinias Philbert ni Mkazi wa Kigoma
      CV= nifundi wa nyumba, Rangi pia ni mchora Raman zamajumba.
      Nimesomea chuo cha ufundi Veta kilichopo Mpanda katika fani ya Masonry and Bricklaying.
      Pia nauzoefu wa kazi zaid ya mwaka mmoja katika sekta hiyo
      Naomba kazi nambazangu ni 0742605410 au 0623920848.

      ReplyDelete
    16. Naitwa Phinias Philbert

      Nifundi ujenzi yaani Masonry and Bricklaying nimeitimu elimu yangu ya ufundi katika chuo cha Veta Mpanda kilichopo katavi.
      Pia ninauzoefu katika sekta ya upakaji wa rangi , uchoraji wa raman za nyumba
      Na uzoefu wa kaz zaidi ya mwaka mmoja.
      Namba zangu ni (voda) 0742605410 na (halotel) 0623920848.
      Asante .

      ReplyDelete
    17. Naitwa rashidi dimwe nimesomea udereva katika chuo cha polisi ufundi kilwa road dareesalaam napia ni fundi ujenzi wa nyumba naomba kama ikitokea nafasi ya fani hizo mbili naomba mnijulishe nipo dareesalaam namba zangu ni 0683521195

      ReplyDelete
    18. I am Peter, am lab personell who hold a diploma level at muhimbili university,i have experienced of more than fifteen years on these field, if anyone want to work with me, you can contact through my no 0754810972

      ReplyDelete
    19. The name who I am is Neema Masamu from Tanzania, am graduate in Diploma of Transport and Logistics from NIT and I have an experience of 3 yrs.
      Please inform me by using the following Number
      0718583255

      ReplyDelete
    20. Naitwa Patrick reuben ni operater wa excavator ninaomba kaz 0768116236

      ReplyDelete
    21. This comment has been removed by the author.

      ReplyDelete
    22. This comment has been removed by the author.

      ReplyDelete
    23. My name is Rashid Hussein from Tanzania.I have enough experience in operating Heavy Equipment Machines like Excavator,Backhoe Loader,Front Hand Wheel Loader,Motor Grader,Folk lift, Bulldozer,Mobile truck crane,Tower Crane,Excrete,Dumper and etc,not only that but also I have enough experience in driving all types of cars and trucks for more than 6 years.Holding NIT Advanced industrial Grade II Certificate, Certificate Level of education and Plant Operator's Certificate for every Machines I learned from Operator's School. If anyone want to work with me,you can contact through my mobile number:-
      +255767444310

      ReplyDelete
      Replies
      1. Mbona kazi zinatangazwa daily za namna hiyo??

        Delete
      2. Naitwa Shaban tire technician ambayo inahusisha track tirechenger, tire fitting, wheel balance, wheel alignment na tire service nipo mwanza no 0753720243

        Delete
      3. Naitwa Juma makotha natokea mtwara - ndanda mi fundi bomba na mwl wa bomba natafta Akira WhatsApp napatikana kwa 0773090951 ukitokea Kazi tafadhali

        Delete
    24. 0675434640
      Scavator operator I have experience in operator scavator please I want job

      ReplyDelete
    25. My name is Paulo Kajia From Tanzania . I have enough experience in procurement and Logistic management for 2.5 years experience education level Diploma certificate from Tanzania institute of Accountancy . Contact 0710539113 ,0752587560

      ReplyDelete
    26. Naitwa galusi ngoja nipo daresalaam nina ujuzi wa kufundisha yaani ualimu msingi certificate namba 0719894093

      ReplyDelete
    27. Naitwa japhar nipo daresalaam Nina ujuzi wa ufundi bomba(plumbing level2)naomba nafasi Kama ikitokea no.0714753159

      ReplyDelete
    28. Chris soraya nimesomea mambo ya journalism yaani uandishi wa redio atakaesikia nafasi za utangazaji au yoyote inayohusiana na nilichosomea.0757010110

      ReplyDelete
    29. Naitwa felix paschal napatikana mkoa wa geita nina ujuzi na ufundi umeme yan elictrical installation (Veta level 2) naomba nafasi kama itapatikana 0743344747 au 0620710386

      ReplyDelete
    30. Mm naitwa hesa james napatikana mkoa wa dar es salaam mimi ni nesi na nna ujuzi wa kufanya kazi mkoa wowote Kama itatokea nafasi napatkana. 0744246689/0719081333

      ReplyDelete
    31. Naitwa Asmini Iddi napatikana mkoa wa pwani nna diploma ya uhasibu napatikana kwa namba 0657210335

      ReplyDelete
    32. Naitwa Ramadhani Liko naishi Dar es Salaam mimi ni Dereva nina uzoefu wa kutosha kwa sasa nimeajiriwa na taasisi ya fedha ila bado natafuta kazi endapo itatokea na nitahitajika napatikana kwa mawasiliano yafuatayo 0688 700 652 au likoramadhani5@gmail.com

      ReplyDelete
    33. Ninaitwa Shekinah Rwabyo ni fundi umeme grade2 mwenye leseni ya EWURA inayoniruhusu kufanya shughuli za umeme.(Certificate) Ni dereva wa magari makubwa daraja E,F G.
      Zinapatikana Tabora na Dar es Salaam.
      Kama ipi nafasi ya kazi naomba nisaidiwe. Namba zangu za simu ni 0655758125 na 0747767764.

      ReplyDelete
    34. Naitwa halifa thabit kutoka lindi mjini na elimu ya kidato cha nne napia na elimu ya electrical installation certificate one naomba nafasi ya kaz kwa mawasaliano zaidi
      0716777255

      ReplyDelete
    35. Naitwa Johnson b damas ni fundi wa magari pia deleva nimesoma vacations VETA changombe.nina uzoefu wa miaka mitatu3
      Naomba nafasi ya kazi.
      🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

      ReplyDelete
    36. Naitwa Johnson b damas ni fundi wa magari pia dereva nimesoma Vocational VETA chang’ombe .Nina uzoefu wa miaka3 naomba nafasi ya kazi.
      0676668833 au 0744923250
      🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

      ReplyDelete
    37. Jumanne said ninauzoefu wakazi zakuzbua vyoo kuset chemba na mifumi majitaka 0689170022 napendaga iwe kazi ya yetmpla

      ReplyDelete
    38. Naitwa Paulo Marseli nimesoma kiswahili na civics kutoka chuo kikuu cha dar es salaam, naomba kama kuna mtu anajua nafasi au kuna nafasi sehemu anicheki, no.0688881873

      ReplyDelete
    39. Naitwa sifa fikeni Niko dar-es-salaam nina shahada ya ualimu wa secondary, no 0753589545

      ReplyDelete
    40. Naitwa MAZOYA J LEONARD NIKO DAR ES SALAAM NI FUNDI STILL FIXER
      0753041105

      ReplyDelete
      Replies
      1. Naitwa lucas lucian malley assistant nurse officer.ninaexperince ya mwaka mmoja kazini...nimefanyia consultant hospital ..... natafuta fursa contact me 0627558915

        Delete
    41. BARAKA WISDOM SHAO Niko morogoro Mimi dereva leseni daraja b,d pia na Cheti Cha ufundi magari certificate level one

      ReplyDelete
    42. Mimi dereva no,ya simu 0712276249

      ReplyDelete
    43. Naitwa Aidan mlungwana Mimi ni mlinzi na yveti ninavyo 0717159600

      ReplyDelete
    44. Mimi naitwa Aidan Yona mlungwana nipo Dodoma ni mlinzi namba ya simu no 0717159600

      ReplyDelete
    45. Naitwa milka adonias ni mwalimu wa sekondary nafundishwa physical education na kiswahili namba yangu ni 0620261801

      ReplyDelete
    46. Naitwa MIRAJI MOHAMED KASSIM Nina fani ya UDEREVA pia Nina cheti Cha UDEREVA Cha VETA...
      Nipo DAR ES SALAAM.

      ReplyDelete
    47. naitwa Aziz m. Yusuph
      wasifu wangu.
      nina cheti cha elimu ya sekondari.
      ni dereve mwenye leseni inayo tambulika kiserikali yenye madaraja A & D.
      nina uzoefu wa kutosha kwani nilisha kuwa dereva wa mtu binafsi kwa zaidi ya mwaka na pia nimefanya kazi kwenye kampuni ya UBER kwa miaka miwili.

      naomba nafasi ya kazi ya udereva .

      barua pepe yangu ni. Azizmrisho@yahoo.com
      namba yangu ya simu ni. 0716328783 / 0620131575

      ReplyDelete
    48. Naitwa janeth r.rajabu,Nina certificate in record management.ninaomba kaz katika ofisi yako.contact:074543232

      ReplyDelete
    49. Naitwa Rosemary tarimo nimesoma Chuo cha utumishi wa umma nimehitimu diploma ya utunzaji kumbukumbu(Records management) na kozi fupi ya udahiri(secretarial) ninaomba kazi, niko tayari Kufanya kazi mkoa wowote
      Barua Pepe marytairo76@gmail.com
      Namba ya simu 0674924381

      ReplyDelete
    50. Naitwa Monika Francis nimehitimu chuo cha uuguzi na ukunga (nursing and midwifry) nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote naomba kazi
      Barua pepe Monicafrancey519@gmail.com
      Namba za simu 0762680702

      ReplyDelete
    51. Naitwa karimu saidi naishi mtwara nmehitimu veta mtwara 2016 katik fani ya laboratory technician na nina cheti cha veta na form four naomba kazi

      ReplyDelete
    52. Naitwa karimu saidi chipola,naishi mtwara nimesomea fani ya laboratory technician veta mtwara mwaka 2016 nina cheti cha veta na form four ninaomba ajira namba za mawasiliano 0624654101 / 0784795154

      ReplyDelete
    53. Naitwa Baraka kikoti ni dereva nipo iringa ninauzoefu wa kutosha na ufundi pia leseni yangu ni daraja A C1 C2 C3 E Ninauzowefu wa kuendesha magari yote makubwa na madogo na magari yenye mitambo ayabu no 0754603492 Asante

      ReplyDelete
    54. Naitwa coletha sixbetus nimesomea afya ngazi ya jamii, community health worker ninauzoefu wa kutosha katika hospital yoyote naomba ajira inapotokea

      ReplyDelete
    55. Naitwa Hermenegilda Ngoty naishi dar es salaam elimu yang nimeishia kidato cha nne, nikajiunga na kozi fupi ya secretary nimesoma stage 1 mpk 3 ninauzoefu wa kazi zote za stationary na ofisin
      Lugha kiswahili na kingereza
      Ninauzoefu pia wa kuuza duka la jumla na rejareja
      Nafanya kazi kwa upendo na kwa ufasaha atakae sikia naomba anijulishe

      ReplyDelete
    56. Naitwa abdulatifu hamisi ni dereva naishi dodoma naimba kazi leseni A B C1 C2 C3 E G nina uzefu wa miaka 7

      ReplyDelete
    57. My name is daniel chacha from dar es salaam, I have enough experience in laboratory technician based in secondary school education my education level is form six then MONDULI teacher college at arusha. I ask for a job at private schools. Thanks

      ReplyDelete
    58. Naitwa Abdulrahman Bakari nidereva wa magari makubwa namadogo ninauzoefu wakutosha nimefanya kazi kwa mda wamiaka minne naomba kazi no 0692 481438

      ReplyDelete
    59. Naitwa Maftah Rajabu magaila.napatikana mkoa wa kagera wilaya misseye,ninamiaka 32,ninaomba kazi ya udreva,Nina leseni ya A,B,D,c1,c2c3 uzoefu nimiaka 10 ata ufundi Niko sawa ntashukuru Kama ombilangu litakubaliwa.no 0746899592

      ReplyDelete
    60. Naitwa Isaac Shuma nina elimu yarasilimali watu pia ninaexperience ya miaka 4 kwe fani sales and marketing kwa yoyote anaye hitaji no 0738395850

      ReplyDelete
    61. Naitwa fatma ally kakai nina diploma ya utunzaji kumbukumbu na cheti cha kompyuta pia nnauzoefu wa field nmba yang hii 0673803994.Ahxanten

      ReplyDelete
    62. Naitwa roza Paulo napatikana biharamulo nimesomea uuguzi na ukunga ngazi ya certificate nimehitimu mwaka 2017,katika chuo cha uuguzi na ukunga kahama,,ninauzoefu miaka miwili ,,

      ReplyDelete
    63. Naitwa Sophia Joseph ndonge nimesomea utunzaji kumbukumbu atakae pata nafasi anijulishe phone no 0753648309

      ReplyDelete
    64. Naitwa abdulrahman kilindo ni afisa kilimo,nipo mor naomba ajira.

      ReplyDelete
    65. This comment has been removed by the author.

      ReplyDelete
    66. Naitwa wazir abedi tuppa mimaumri wamiaka 28 ninaomba kazi ya udereva dump track ninauzoefu wazaid yamiaka 7katika secta hiyo na niamuamifu pia 0653593570

      ReplyDelete
    67. Naitwa waziri abedi tuppa nina umri wamiaka 28 naomba nafasi ya udereva dump dreiver nimzoefu wa miaka isiopungua 7 na nimuaminifu nipo tayar kufanya kaz mahali popote endapo nitakubaliwa maombi yangu.0653593570

      ReplyDelete
    68. Naitwa salvina nataman kujiunga jeshi ila nimepita umli ila napenda sana

      ReplyDelete
    69. Naitwa Asifiwe kyando,Elimu yangu ni kidato Cha nne.Nimesoma chuo Cha Veta(carpentry&joinery and Driving Course).Nimesoma ufundi seremala na udereva Tanzania na nchi ya nje Ujerumani.Ninauzofu wa kazi miaka 14.Nina vyeti vipo.Naomba Ajira Kama ikitokea.Tuwasiliana 0754549861

      ReplyDelete
    70. Naitwa habiba jumanne hamidu elimu yang ni kidati Cha nne nimesoma chuo nimesomea tourism and hotel management Ivo ninauzoefu wa kazi ya mapishi na usafi.nina navyeti vyote vipo .Ivo ninaomba ajira Kama itatokea kwenye kampuni yenu .tuwasiliana kupitia 0621360046 au 0674624345

      ReplyDelete
    71. Nahitaji mtu anaeweza
      1.kupika vitafunwa aina zote na
      2.anaejua kuchoma nyama vizuri na kurost
      3.Mtu mwenye cheti cha ADDO na umiliki duka la dawa

      SIFA
      1.Kwa vitafunwa awe mdada umri kuanzia 18-25
      2.Kuchoma nyama awe mkaka umri 18-25
      3.ADDO jinsia ya kike umri 18-25

      Eneo la kazi ni mkoa wa pwani.

      Tuwasiliane kwa 0693414696

      ReplyDelete
    72. Naitwa nehemia mollel nimesoma veta fani ya majokofu na viyoyozi nina uzoefu wa miaka mitatu na nina umri wa miaka 24 vyeti vyote ninavyo vyenye ufaulu mzuri wa vc2 na vc3

      ReplyDelete
    73. Request for a job as an aacountant, accomplished Diploma in Co-operative management and accounting, Contact

      +255 624902530

      ReplyDelete
    74. naitwa Marydon Richard Mutalemwa nimesomea walimu na nina uzoefu wa kufundisha vipindi vya bihashara economics and commerce pia history natafta kazi please help me 0746371421

      ReplyDelete
    75. Naitwa Ezekiel Peter Silas nimesomea fan ya umeme mkubwa electrical engineer level 2 ninauzoefu katika fani husika hivyo naomba ajira kwenye kampuni yenu.namb0783680234

      ReplyDelete
    76. Naitwa aisha salmin nimesomea fani ya maendeleo ya jamii diploma chuo cha hombo ninauzoefu na fani yangu naomba ajira kama itatokea 0687119031

      ReplyDelete
    77. Naitwa polikap Honolatus nimesemea ualimu wa geography na history ngazi ya digri naweza fundisha primary na secondary
      0759677538

      ReplyDelete
    78. Naitwa polikap Honolatus nimesemea ualimu wa geography na history ngazi ya digri naweza fundisha primary na secondary
      0759677538

      ReplyDelete
    79. Naitwa Scolastica Charles Mduma nimehitimu masomo yangu katika chuo cha ualimu Monduli katika masomo ya Biology na Geography ngazi ya diploma.. Nina uzoefu wa kazi kwa mwaka mmoja.. Naomba kazi namba yangu ni 0710375039

      ReplyDelete
    80. Naitwa Valentina Simon ni mwalimu wa sekondari Nina uzoefu mzuri masomo ya maarifa ya jamii na sayansi ngazi ya shahada. Namba 0769776566

      ReplyDelete
    81. Naitwa festo machela Thomas n fundi up pande was mechanics Nina grade 1.0744043385

      ReplyDelete
    82. Naitwa isaya n fund umeme nilihitimu masomo yang ya ufund katka chuo cha FDC kasulu ngaz ya daraja la pili na kusoma veta daraja la tatu. Nina uzoefu wa kaz kwa mda wa miaka 2 sasa. Kwa mawasiliano naomba nijulishwe kwa namba 0763563899

      ReplyDelete
    83. Naitwa ester peter nimehitim diploma ya uhasibu nina uzoefu wa field nambayangu 0753466446

      ReplyDelete
    84. Naitwa Lilian john nina shahada ya Bima na udhibiti majanga pia nina uzoefu wa miaka miwili yuu ya maswala ya Bima pamoja na uuzaji wa Bima...namba yangu ni 0685487821.

      ReplyDelete
    85. Naitwa sarah Edward nimehitim diploma ya maendeleo ya jamii Nina uzoefu wa field katika kata na shirika la nssf. Pia naweza fanya kazi nyingine nje ya professional yangu namba yangu ni 0746891678

      ReplyDelete
    86. Ninaitwa baraka James ninaishi dar es salaam mbagara ni dereva wa nagari aina yote pia nifundi nagari na ni funding umeme wa nagari katika fani ya udereva ni mzoefu zaidi ya miaka mitanninaomba ajira katika shilika lenu asanteni mawasiliano yangu ni 0756 785271 elimu yangu ya udereva nimepata katika chuo cha veta

      ReplyDelete
    87. mimi ni dereva mtaalam kabisa na fundi wa gari nimesomea udereva N I T miaka 9 Iliyopita na Ufundi Mbalizi miaka 5 iliyopita Mwenye uhitaji na dereva mjuzi 0764705174

      ReplyDelete
    88. naitwa abasi kiluwasha nimesoma diploma ya udaktar(clinical medicine) naombeni ikitokea inshu nijuze napatikana dar
      namb ya cm 0676281691

      ReplyDelete
    89. My names are Ayubu samwel keng'wena,I'm in 22 years old I'm a diploma holder in early child care and education from Tarime teachers college, I'm good in teaching and taking care for our kids, well trained with higher performance in my all all semesters examitions that leads to score first class in my diploma certificate os 4.4 also I have enough working experience from different schools in Tanzania, I'm ready to work at any sector(private & governmental sectors) I here from u for the betterment generation just. I like to say that just contact me through this number 0764935625

      ReplyDelete
    90. My names are Ayubu samwel keng'wena,I'm in 22 years old I'm a diploma holder in early child care and education from Tarime teachers college, I'm good in teaching and taking care for our kids, well trained with higher performance in my all all semesters examitions that leads to score first class in my diploma certificate os 4.4 also I have enough working experience from different schools in Tanzania, I'm ready to work at any sector(private & governmental sectors) I here from u for the betterment generation just. I like to say that just contact me through this number 0764935625

      ReplyDelete
    91. Vijana wenzangu wa kitanzania ebu ifuke wakati tuwe na akili kama wasomi hata ngazi ya cheti au form 4, unawezaje kuweka taarifa zako hapa kwa ajili ya kuomba kazi? Hii n sehemu ya kuweka matangazo ya kazi sio kuombea kazi, yaani fanya hivi, ukishaona kazi unayoitafuta, angalia utaratibu ambao wameweka kwa ajili ya kuomba kazi na kisha ufuate ndipo hata wakijitangaza kazi wataona maombi yako, hapa hata kama una PhD ukiweka hapa taarifa zako hakuna atakayekufikiria, funguka ufahamu wako leo kwa jina la Yesu Kristo!

      ReplyDelete
    92. Naitwa John Andrew nimemaliza degree ya population and development planning, napatikana Bukoba, nahitaji kazi

      ReplyDelete
    93. Namba yangu John Andrew 0692472320

      ReplyDelete
    94. Naitwa Deus Athanas.Nina Bachelor Degree in Mathematics.Kwa atakaye sikia nafasi yoyote ya kazi ikiwemo ualimu na bank teller aniambie napatikana Dar es salaam.Namba zangu ni 0765853759

      ReplyDelete
    95. Naitwa janeth nimesomea masijala ngazi ya cheti(record management) na pia Nina chet cha computer naomba kwa yoyote atakae sikia hiyo kazi anambie pia na weza kazi ya msaidizi wa ofisi.kwa mawasiliano 0745432332

      ReplyDelete
    96. Ninaitwa baraka James ni dereva wa nagari aina zote nina passport ya kutoka nje ya nchi pia nmesomea veta ninakila kitu cha kuwa dereva pia ni fundi wa magari aina zote ninahitaji ajira

      ReplyDelete
    97. Naitwa Elly Martin silozi napatikana Gongo la mboto Dar es salaam, nina fani ya ualimu katika masomo ya history na jiografia. Naomba kazi katika shule yoyote itakayokuwa na uhitaji wa mwalimu. 0718436265

      ReplyDelete
    98. Naitwa samwel napatikana mbeya professional yangu ni muuguzi naomba nafasi kwenye kampuni yenu inayohusiana na fani yangu.0621572543

      ReplyDelete
    99. Naitwa Vicent Chipasula nimemaliza clinical officer diploma nipo tayari kufanya kazi kweny mashirika (taasisi)au hospitali

      ReplyDelete
    100. Ninaitwa baraka James no dereva wa magari aina zote nina vyeti vifuatavyo ,form4 ,veta driving,cha kuzaliwa, passport ya nje ya nchi ni mzoefu zaid ya miaka mitatu ninaomba kazi

      ReplyDelete
    101. Emmanuel Damas natafuta kazi ya uuguzi uzoefu nilionao zaidi ya miaka 2 Simu no 0675138659

      ReplyDelete
    102. Naitwa Buruhani yusuph nimesoma uuguzi na ukunga ngaz ya cheti , what's up namba 0653613478

      ReplyDelete
    103. Naitwa Ally Isima Nina elimu ya kidato cha nne nimemaliza pia elimu ya ufundi umeme yaani Electrical installation ninauzoefu wa miaka minne naomba kazi +255766122101

      ReplyDelete
    104. Naitwa peter Michael nimesoma koz ya lab assistant napatikana Arusha

      ReplyDelete
    Previous Post Next Post

    Expresstz Jobs Centre