116 New Job Opportunities at The Ngorongoro Conservation Area (NCA)

 
Overview
The Ngorongoro Conservation Area (NCA) was established under National Parks Ordinance CAP.412 of 1959. This unique area is currently managed by the Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) pursuant to CAP 284 of 2002. It is under the Ministry for Natural Resources and Tourism. The main functions of the NCAA are to conserve and develop the natural and cultural heritage resources, to promote tourism in the NCA and promote the interests of indigenous people living in the area.
The Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) invites applications from qualified Tanzanians to fill the following vacant positions: –
WILDLIFE MANAGEMENT ASSISTANT II (34 POSTS)
Direct Entry Qualifications
Holder of Certificate in Wildlife Management, Range Management, Wildlife Ecology, Zoology, Forestry or similar related field from a recognized institution.
Notice!!
Ngorongoro Conservation Area Authority(NCAA) has Updated the job advert posted on its website...Click here to read

Main Duties and responsibilities
  • Wildlife Management
  • To clear NCAA boundaries.
  • To assist in implementation of strategies for managing endangered flora and fauna species.
  • To participate in carrying out animal census.
  • To assist in identification and management of various habitats in NCA.
  • To participate in collecting samples of, and store plant specimens.
  • To participate in preparation of tree nurseries for both indigenous and exotic plant species.
  • To participate in restoration of plant species in NCA and adjacent areas
  • To perform any other duties as assigned from time to time by Supervisor.
  • Wildlife Protection
  • To cleanse firearms.
  • To collect/pick government trophies or antiques or forest products left unattended to secure in official custody.
  • To participate in routine patrols and animal census.
  • To protect and guard the lives and properties of the residents/employees against destruction by wild animals.
  • To participate in cleanliness and guarding of tourist camps, entry gates and any other appointed places.
  • To perform any other duties as assigned from time to time by Supervisor.
Notice!!
Ngorongoro Conservation Area Authority(NCAA) has Updated the job advert posted on its website...Click here to read
*********************
ASSISTANT WILDLIFE MANAGEMENT OFFICER II (6 POSTS)
Direct entry Qualifications
Holder of Diploma in Wildlife Management, Range Management, Wildlife Ecology, Zoology, Forestry or any other equivalent field from recognized institution.
 Main Duties and responsibilities
Wildlife Management
To clear NCAA boundaries.
To assist in implementation of strategies for managing endangered flora and fauna species.
To participate in animal census.
To assist in identification and management of various habitats in NCA.
To participate in collecting samples of, and store plant specimens.
To participate in preparation of tree nurseries for both indigenous and exotic plant species.
To participate in restoration of plant species in NCA and adjacent areas
To perform any other duties as assigned from time to time by Supervisor.
Wildlife Protection Services
To cleanse firearms.
To collect/pick government trophies or antiques or forest products left unattended to secure in official custody.
To participate in routine patrols and animal census.
To protect and guard the lives and properties of the residents/employees against destruction by wild animals.
To participate in cleanliness and guarding of tourist camps, entry gates and any other appointed places.
To perform any other duties as assigned from time to time by Supervisor.

************************

2 Infornation And Communication Technology Officer 11 Jobs at Ngorongoro Conservation Area (NCA) 

Direct Entry Qualifications

Holder of Bachelor degree in Computer Science, Computer Engineering, Information Communication Technology, Information Systems or its equivalent qualifications from a recognized institution.

Main Duties and responsibilities
To design computer system charts and to provide the necessary systems documentation.
To assist users in systems analysis and design.
To schedule upgrades and security backups of hardware and software systems/programs.
To prepare systems flow charts of information movements.
To maintain and control existing systems and keep up to date systems/ documentation standards.
To undertake low level routine maintenance of ICT equipment.
To perform any other duties as may be assigned by supervisor

Notice!!
Ngorongoro Conservation Area Authority(NCAA) has Updated the job advert posted on its website...Click here to read

***********************

PUBLIC RELATIONS OFFICER I (1 POST)

 Direct Entry Qualifications

Holder of Bachelor Degree in Mass Communication, Journalism, Public Relations or equivalent qualifications from recognized Institutions with working experience of at least four (4) years in related field.

Main Duties and responsibilities

To prepare speeches for executives, organizing press conferences and planning requisite for finding appropriate platforms for Authority’s functions.
To prepare scripts for the Authority’s advertisements.
To ensure that all major events and ceremonies of the Authority are correctly covered and advertised.
To organize official functions of the Authority
To perform any other duties as may be assigned from time to time by his/ her supervisor.

***********************

INTERNAL AUDITOR II (2 POSTS)

Direct Entry Qualifications.

Holder of Bachelor degree in Accounting, Accountancy, Finance, Commerce/Business Administration majoring in Accountancy or Finance or equivalent qualifications from recognized institutions plus CPA (T), ACCA, ACA, CIA or equivalent professional qualifications recognized by NBAA. Must have knowledge in ICT/Computer applications including MS-Office and Accounting Packages.

Main Duties and responsibilities

  • To assist in recording and reporting livestock/wildlife field cases to relevant authorities.
  • To review internal controls and submit recommendations to supervisors.
  • To execute audit programmes.
  • To ensure that internal control systems are adequate to avert perpetration of frauds, misappropriation and embezzlements.
  • To prepare audit reports based on the audit findings.
  • To review the effectiveness of managerial controls and implementation of systems, policies and practices.
  • To prepare internal audit programmes in accordance with generally accepted audit standards..
  • To organize and supervise staff carrying out audit on expenditure and revenue transactions.
  • To perform any other duty as may be assigned by the supervisor.
REMUNERATION
In accordance to NCAA’s salary scales.
Mode of Application:
Own handwritten application with comprehensive typed curriculum vitae, accompanied with copies of relevant academic Certificates and Transcripts plus names and addresses of three referees to be sent to:-
The Conservator,
Ngorongoro Conservation Area Authority, P. O. Box 1, NGORONGORO CRATER, ARUSHA – TANZANIA | Tel: +255 27 2537006/19
So as to reach this office not later than 08th March, 2019
Important:
Notice!!
Ngorongoro Conservation Area Authority(NCAA) has Updated the job advert posted on its website...Click here to read
Warning: Never Make Any Form of Payment, When Applying For a Job from This Site

123 Comments

  1. Hi my name is gaper augusti lyimo I don heve werki my fani is dreve

    ReplyDelete
  2. Hi my name is jacquiline. P. Urassa i have some of expirience as receptionist for 4 years

    ReplyDelete
  3. Hii my name is Elinaike Samweli, I have expirience as secretary and receptionist for 3 years

    ReplyDelete
  4. Enter your comment...Naitwa Baltazari Emmanuel ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 23 elimu yangu ni kidato cha nne ninayo fani ya udereva naomba nafasi ya udereva nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote Tanzania
    Ni matumaini yangu kuwa ombi langu nitakubaliwa
    kwako katika ujenzi wa Taifa
    B.Emmanuel
    Baltazari Emmanuel
    mawasiliano
    0786327924
    0744279402

    ReplyDelete
  5. Hii naitwa Mathew Jactan Mshindo nikijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 24 elimu yangu kidato cha nne fani yangu uchemeleaji vyuma nipo tayari kufanya kazi sahem yoyote Tanzania
    Matumaini yangu kukubaliwa ombi langu
    Mawasiliano 0743564167
    0655592792

    ReplyDelete
  6. Habari kwa majina naitwa HAMZA YAHYA ni mtazania Nina umri wa miaka 24 Nina stashahada ya uhasibu niliyo hitimu katika chuo cha tasisi ya uhasibu Tanzania 0718302740

    ReplyDelete
  7. Hi naitwa Elionora Didas Massawe ni mtanzania mwenyewe miaka 28 Sina fani ila nina chet cha kuhitimu form four najitambua nikielekezwa naweza 0765153660

    ReplyDelete
  8. Habari naitwa Michael Godfrey umri wangu miaka 25 elimu yangu kidato cha nne fani yangu udereva na ufundi umeme.
    0787378332
    0659411339

    ReplyDelete
  9. Habari naitwa John Anthony fusi nikijana mwenye umri 24 elimu yangu kidato cha nne ,fani yangu ni udereva na ufundi magari.
    0625572025 ,0653045524

    ReplyDelete
  10. Hi! My name is Happiness ,my education level is form 4 ,, am aware of hotel issues also I can work as receptionist
    I hope u received my request
    Phone: 0746400512
    Thank you

    ReplyDelete
  11. Habari,kwa Nina naitwa Jema Mahenge mwenye umri wa miaka 24 Nina stashahada ya utunzaj kumbukumbu (records management)katika chuo cha utumishi wa umma Tanzania
    Phone number-0746243123
    Asante

    ReplyDelete
  12. Habari kwajina naitwa jastini chami nina umri wa miaka 23 na elimu yangu n kidato cha nne na ninachet pia fani yangu n ya udereva na nina leseni nzuri na nipo tayar kufnya kazi mazingira yoyote yale mawasiliano yangu
    No:0672425116
    Email:jastinchami25@gmail.com

    ReplyDelete
  13. plumbing is a life, Am a plumber
    fundi bomba elimu kidato channe, nimechukua mafunzo ya plumbing veta long couse miaka miwili
    mawasiliano:0714740046

    ReplyDelete
  14. Naitwa CARISMA JOHN SHAYO ni MTANZANIA. ninaumri wa miaka 28 ninaelimu ya kidato cha nne naweza kutumia lugha ya kingereza na kiswahili vizuri naomba kazi Yeyote katika ofici yako hatakuudumia bustani ni matumaini yangu ombi langu litashugulikiwa wako katika ujenzi wa taifa. Mawasiliano 0759665169

    ReplyDelete
  15. Kwa majina naitwa malaki k msuya ni muhitimu kwa ngazi ya Chet kwenye fani community health worker (afya ya jamii) nina uzoefu kweny kaz nilisha fanya wilaya Bagamoyo wilaya kinondoni na pia wilaya ya temeke asante wako mtihifu M.K.Msuya 0716609460 / 0624014414

    ReplyDelete
  16. Shukrani kwenu kwa kutoa nafasi hizi za kazi.
    Kwa Jina naitwa BENIGNUS MAGEHEMA,
    elimu yangu kidato cha nne pia, nifundi Wa magari certificate level. Katika nafasi mtakayoona ntafaa naomba nafasi hiyo.
    Natanguliza Shukrani Zangu za dhati.
    0654761895.

    ReplyDelete
  17. Hi I'm James Miller a Grade One And VIP Driver looking for a job please for any needy contact me on 0788692931 or 0756035796

    ReplyDelete
  18. I'm Axer Kinota... bachelor degree in Procurement and Logistics management

    ReplyDelete
  19. Axer Kinota.. bachelor in Procurement and Logistics management...
    0764831599,
    Email; kinotazone@gmail.com

    ReplyDelete
  20. Naitwa Paul G.Gabriely Nina umri wa Miaka 21,, elimu yangu kidato Cha nne pia Nina nmesoma Electrical installation Veta shinyanga Miaka miwili(2) ngazi ya cheti kwa mawasiliano zaidi
    0763037481

    ReplyDelete
  21. Hi my name is yohanna Micheal age 20 my education level is form 4 I can do games and sports officers more details please contact me through this number
    0714185632

    ReplyDelete
  22. Naitwa Godfrey nangalanga na umri wangu 25 elimu ya kidato Cha nne,fani yangu dereva na fundi magari. Nimesoma mikumi veta. Nitafurah sana nikipata Kaz kwa mawasiliano
    0658037271

    ReplyDelete
  23. Naitwa sesilia martin umri miaka 23 Nina stashahada ya utunzaji wa kumbukumbu (record management ) katika chuo cha utumishi wa umma Tanzania phone number 0759820601 asante.

    ReplyDelete
  24. My name is samweli karani my occupation is electrical engenering in level 5 lm able to do the job in every place in tanzania my phone number is 0628619246/0713948264

    ReplyDelete
  25. My name is Masele Oscar Madeni ,29 years old,I like to apply the position of receptionist ,also im a good of driving and supervisor of farms,thanks

    ReplyDelete
  26. Masele Oscar madeni contact 0787260895 naomba reception, na u dereva pia Nina uzoefu,

    ReplyDelete
  27. Masele madeni miaka 29 na Elimu ya kidato cha NNE na cheti cha tourism management, na uzoefu na reception pia Nina uzoefu u dereva na tour guiding,Naomba kuaply Reception, asante

    ReplyDelete
  28. Hi Hir/ Madam, mimi kwa jina naitwa Israel thomas ni kijana nina umri wa miaka 32, nina elimu ya form 4, pia nina sertifacate ya full hotel managerment,, naomba naomba nafasi hiyo au nyingine yeyote, naahidi uzoefu, bidii, na utiifu ktk kazi,, asante

    ReplyDelete
  29. Habar naitwa Monica Abel Ni msichana mwenye umri miaka 32,Nina elimu ya kidato Cha nne Nina certiface ya full secretarial course and computer,naomba iyo nafasi Nina uzoefu nayo kwa miaka mingi nitafanya kazi kwa bidiii na utiifu mwingi,natanguliza shukrani zangu za dhati ikiwa ombi langu litakubaliwa

    ReplyDelete
  30. Naitwa LAMECK FIDELIS MINANI ni MTANZANIA mwenye umri wa miaka 26 nimesomea Electrically installation kwa muda wa miaka miwili mwaka 2015 na 2016 na kupata cheti cha level two. Ninauzoefu wa miaka miwili tangu nimalize chuo kwani nimefanya kazi za umeme wa majumba katika maeneo tofauti kwa muda wote.
    Naoma nafasi iyo
    Namba zangu ni
    0758899734,
    0659607119

    ReplyDelete
  31. HABARI: Naitwa CHARLES P. MOllel ninaumri wa miaka 26 naomba kuomba kazi ya udereva ninauzoefu wa miaka 8 namba zangu za sim ni 0744 77 3758
    ASANTE MUNGU AWABATIKI.

    ReplyDelete
  32. Habali Naitwa cleophac daudi Nina umri wa miaka 28 fani yangu fund chomelea Nina uzoefu wa miaka 9 namba zangu ni 0765948122

    ReplyDelete
  33. HABARI: Naitwa Thadeus Theonest Nina umri wa miaka 27 ..ni mtanzania nimemaliza kidato Cha nne na nakusomea fani ya Electrically Installation na kupata cheti Cha level 1.,.2,.3,Nina uzoefu wa miaka 5 toka niaze kufanya kazi katika fani hii..Niko tayari mkinitaji..natumaini ombi langu mtalifanyia kazi ..
    Namba zangu za simu.
    0719973984 ..0682681885
    Nawatakia kazi njema kwa ujenzi wa taifa

    ReplyDelete
  34. Habari mimi jina langu ni Elias mallow ni muhitimu was kidato Cha nne mtanzania mwenye miaka 23 mwenye fani ya udereva na stashahada ya uhazili na mzoefu wa kufanya kazi kwa muda wa miaka miwili Niko tiali kufanya kazi ntakayopangiwa nitatoa shukrani zang endapo ombi langu litakubaliwa

    ReplyDelete
  35. Hi am liviani gradius am form four graduated and form six also am a degree in secretary please dealing with my caption I will be happy

    ReplyDelete
    Replies
    1. Habari naitwa Innocent l.mwakyange Nina umri wa miaka 29 na ni raia wa Tanzania.nimehitimu mafunzo ya diploma in nursing and midwifery na ninauzoefu mkubwa wa kufanya kazi.kwa mawasiliano zaid 0676019813 au 0786002820

      Delete
    2. Habari naitwa barbara karim besta nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne ni raia wa tanzania,fani yangu ni casher nilishawai kufanya kazi kwenye ofisi nyingi so nina uzoefu na kazi hii na naweza fanya kazi mkoa wowote naomba nikubaliwe pia nina vyeti vote vya kuonyesha kuwa mm ni mtanzania na nina living sertificate pia ya kuhitimu elimu ya form 4 namba yangu ya simu ni 0756032003

      Delete
  36. kwa majina naitwa Johnson Godlove umri miaka 21 ni raia wa Tanzania nimehitimu mafunzo ya ufundi bomba kwa mwaka wa pili (N.V.A-II) chuo cha ufundi Arusha .elimu kidato cha nne
    +255 76758 4648.




































































































    ReplyDelete
  37. Habari naitwa MUSSA SHADRACK fani yangu ni electrical installation lever ii elimu yangu ni kidato cha nne nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote hapa tanzania mawasiliano yangu ni
    +225 673904807

    ReplyDelete
  38. Habari naitwa almishy Abdul Ni mschana wakitanzania mwenye umri wa miaka 21 Nina elimu ya kidato Cha nne na Nina certificate ya full secretarial course na Nina nimefanya kazi ya uzoefu miaka miwili.
    Ninatumaini ombi langu litaahughulikiwa asnteni.
    Kwa mawasiliano 0657800727

    ReplyDelete
  39. Habari naitwa NYENDWA MELANA JAMES ni mkazi wa shinyanga mjini natafuta kazi ya udereva nina uzoefu wa kutosha na kazi hii kwa muda wa miaka mitano 5 naweza kufanya kazi mahali popote Tanzania wako katika ujenzi wa taifa,mawasiliano 0757113113/0622477771.

    ReplyDelete
  40. VICTOR L CLEOPA mwenye umri wa miaka 30 nimesomea FANI UMEME na kupata cheti cha grade one nimesoma IFUNDA SHULE YA UFUNDI Ninauzoefu wa miaka sita tangu nimalize chuo kwani nimefanya kazi za umeme wa majumba katika maeneo tofauti kwa muda wote.ninavigezo na vivuli vya vyeti
    MAWASILIANO YANGU
    0769 877694
    0621 030734
    Email :vltelectricalservices@gmail.com

    ReplyDelete
  41. VICTOR L CLEOPA mwenye umri wa miaka 30 nimesomea FANI UMEME na kupata cheti cha grade one nimesoma IFUNDA SHULE YA UFUNDI Ninauzoefu wa miaka sita tangu nimalize chuo kwani nimefanya kazi za umeme wa majumba katika maeneo tofauti kwa muda wote.ninavigezo na vivuli vya vyeti
    MAWASILIANO YANGU
    0769 877694
    0621 030734
    Email :vltelectricalservices@gmail.com

    ReplyDelete
  42. VICTOR L CLEOPA mwenye umri wa miaka 30 nimesomea FANI UMEME na kupata cheti cha grade one nimesoma IFUNDA SHULE YA UFUNDI Ninauzoefu wa miaka sita tangu nimalize chuo kwani nimefanya kazi za umeme wa majumba katika maeneo tofauti kwa muda wote.ninavigezo na vivuli vya vyeti pia ni Dereva Ninauzoefu miaka minne katika Udereva
    MAWASILIANO YANGU
    0769 877694
    0621 030734
    Email :vltelectricalservices@gmail.com

    ReplyDelete
  43. Name willnnesses Kaale
    Qualifications
    Form 4
    Diploma in account
    Certicate of HSGA (higher standard government account

    ReplyDelete
  44. Habari, kwa majina naitwa Paulo Massay Amsi, ni mtanzania mwenye umri wa miaka 23, nimehitimu maendeleo ya jamii ngazi ya cheti, na Nina uzoefu na shughuli za stoo, naomba nafasi ya kazi yoyote na popote.Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litajibiwa.
    Mawasiliano +255769808974

    ReplyDelete
  45. Habari, kwa majina naitwa Paulo Massay Amsi, ni mtanzania mwenye umri wa miaka 23, nimehitimu maendeleo ya jamii ngazi ya cheti, na Nina uzoefu na shughuli za stoo, naomba nafasi ya kazi yoyote na popote.Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litajibiwa.
    Mawasiliano +255769808974

    ReplyDelete
  46. Habari, kwa majina naitwa Paulo Massay Amsi, ni mtanzania mwenye umri wa miaka 23, nimehitimu maendeleo ya jamii ngazi ya cheti, na Nina uzoefu na shughuli za stoo, naomba nafasi ya kazi yoyote na popote.Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litajibiwa.
    Mawasiliano +255769808974

    ReplyDelete
  47. Naitwa GAUDENCE CHARLES MALOGO ni mtanzania mwenye umri wa miaka 25 ni mkazi wa Dodoma elimu yangu ni kidato cha nne fani yangu ni CARPENTRY and JOINERY nimesoma katika chuo cha ufundi Vocational Education and Training Authority (VETA RVTSC NYAKATO MWANZA) mwaka 2016 nina uzoefu mkubwa katika fani hii.

    Mawasiliano
    0767417875
    0693486099

    Email

    gaudencemalogo35@gmail.com

    ReplyDelete
  48. Naitwa NOBEL SAJILO SAJILO ni kijana MTANZANIA mwenye umri wa miaka 22 ni mkazi wa DODOMA nimehitimu elemu ya sekondari (kidato cha nne) mwaka 2016 fani yangu ni udereva pamoja na ufundi magari nimepata mafunzo katika chuo cha ufundi cha DON BOSCO TECHNICAL INSTITUTE DODOMA mwaka 2017 kwa mawasiliano :0685513709, :0784153486.

    ReplyDelete
  49. Naitwa NOBEL SAJILO SAJILO ni kijana MTANZANIA mwenye umri wa miaka 22 ni mkazi wa DODOMA nimehitimu elemu ya sekondari (kidato cha nne) mwaka 2016 fani yangu ni udereva pamoja na ufundi magari nimepata mafunzo katika chuo cha ufundi cha DON BOSCO TECHNICAL INSTITUTE DODOMA mwaka 2017 kwa mawasiliano :0685513709, :0784153486.

    ReplyDelete
  50. Naitwa Deodatus david maragu ni clinical officer ninaumri wa miaka 26 mtanzania nimehitimu kidato cha nne mnamo mwaka 2011 nimepata mafunzo yangu ngazi ya afisa tabibu kilosa clical officer . naomba kupewa nafasi za ajira kwa mawasiliano zaid 0652065225 or 0755215367

    ReplyDelete
  51. My name is melikiori Joseph... I specialize in tourism operations and management degree level also having knowledge about flora and fauna and a good driver too..my numbers are 0758210899

    ReplyDelete
  52. Naomba kuuliza hakuna nafasi za upishi
    (Chef)Kama zitakuwepo tuwasiliane,
    0653-178586/0620729600

    ReplyDelete
  53. Habari,naitwa theodory mwalyaje ,ni fundi bomba (plumbing and pipe fitting level two),naomba nafasi ya kazi ya ufundi bomba.natumaini ombi langu litakubaliwa,natanguliza shukrani.wako katika ujenzi wa taifa.Theodory Mwalyaje,0746362878

    ReplyDelete
  54. Mm nimuuguzi ngazi ya cheti....nna uzoefu wakutosha katika fani yangu.niko moshiKilimanjaro.
    Naitwa OMARI

    ReplyDelete
  55. Habari, kwa majina yangu naitwa Helena Apolinary Mwaria,Nina umri wa miaka 26 nina stashahada ya kutunza kumbukumbu.Nina uzoefu wa kazi mwaka mmoja. Naomba nafasi yakazi. Nipo tayari kufanya kazi popote mtakapo nipangia. Ahsante
    No :0658769509. Email Helenaapolo@gmail.com.
    Ahsante.

    ReplyDelete
  56. Habari kwa majina naitwa lina John Nina miaka 23 ni mtanzania halisi,Nina elimu ya kidato cha NNE ,pia Nina fani ya (electrical installation ,level 3 ) umeme wa majumbani! Natumain ombi langu litakubaliwa
    0676196340/
    0763707203

    ReplyDelete
  57. Habari naitwa Happy William Ni mtanzania mwenye umri Miaka 23,naimba kazi katika fani ya mapokezi.natumaini maombi yangu yatakubaliwa, no zangu ni 0757038843

    ReplyDelete
  58. Dear
    Hi.kwajina naitwa Alex .s. teye nina umri wa miaka 25 ninauzoefu wa utengenezaji wa magari na fani nyingine nikielekezwa naweza nina elimu ya kidato cha 4 niko tayari kufanya kazi popote Tanzania nimatumaini yangu mtalitazama
    Wako katika taifa Alex s Teye

    ReplyDelete
  59. Mariamu msuya....I'm.record manager.....very competent in such work....

    ReplyDelete
  60. Habari,kwa majina naitwa Mariam Kabwere Msuya.Nina umri wa miaka 24. Nina stashahada ya utunzaji kumbukumbu. Nina uzoefu wa kazi. Naomba nafasi ya kazi . Nipo tayari kufanya kazi popote pale mtakapo nipangia. No. 0652954026 au 0767882606 Ahsanteni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Habari;naitwa Addolph Frank Mrema ni mtanzania mwenye umri wa miaka 28 na nina fani ya udereva kwa miaka mitani(5) kwa sasa na nina uwezo wa kufanya kazi popote pale, naomba nafasi ya kazi.namba zangu ni 0782708870 na 0716709815

      Delete
  61. Habari za KAZI Mimi ni christopher Manyama .naomba kazi ya udereva ,mtanzania umri miaka 50 Nina fani ya udereva ndani ya miaka 17,leseni daraja E,elimu yangu kidato cha NNE,introduction computer, natumaini ombi langu litakubaliwa kwa moyo mmja.

    ReplyDelete
  62. Babar naitwa jastin nipo arusha ni dereva ninauzoefu usiopungua miaka kumi ninauzoefu wa magari makubwa semi treila na madogo am no 0763083222

    ReplyDelete
  63. Naitwa Fadhili Elisha kutoka karatu Elimu kidato cha 4 naomba kazi ya usafi na utunzaji wa mazingira mimi hata mkinipa nifanye usafi wa vyooo vya creater nipo tayari na nitafanya kikamilifu Namba yangu ni 076571427 au 0756307236

    ReplyDelete
  64. Habari kwa majina naitwa Doreen Severin Nyoni ni mtanzania mwenye umri wa miaka 20. Nina astashahada na stashahada nilomaliza mwezi wa pili mwaka huu ya utunzaji kumbukumbu(Records management) nina uzoefu wa field miaka miwili. Ni matumaini yangu ombi langu litakubaliwa. Mawasiliano 0674575106. email doreennyoni4@gmail.com

    ReplyDelete
  65. Jamani tunaomba msaada jamani, nimesoma UDOM nimemaliza 2012, natafuta kazi jamani, Naitwa Magreth Tryphone, natokea Sumbawanga, mim niko tayari kufanya kazi yoyote,Udom nilisomea BA. PUBLIC ADMINSTRATION.., contact zangu ni 0767873962

    ReplyDelete
  66. HABARI,
    NAITWA JAMES JOHN URIO NI KIJANA MTANZANIA MWENYE UMRI WA MIAKA 23. ELIMU YANGU NI KIDATO CHA SITA (HKL), NAOMBA KAZI YA KUWA SEKRETARI KATIKA OFISI YAKO. NITASHUKURU ENDAPO OMBI LANGU LITAKUBALIWA.

    MAWASILIANO:
    - 0659382125
    - 0762417141
    - 0758256647

    ReplyDelete
  67. Naitwa Nyamali Mbesa Lilanga nina miaka 23 nmehitimu kdato cha sita PCM naomba kazi yeyote kulingana na masomo niliyosoma niko tyr kufanya kazi namba yangu 0688282594

    ReplyDelete
  68. Naitwa magreth Steven,ninaumri wa miaka 22,nimesoma astashahada katika chuo cha mipango na maendeleo,ninaomba kazi katika ofisi yako.ninauwezo wa kufanya kazi yeyote na katika mazingira yeyote,
    Natumaini ombi langu litashughulikiwa,

    0684719064

    ReplyDelete
  69. Im called erick john and I am a driver with an experience not less than ten years old with the experience of large cars such as trailers and dams my number 0752242000

    ReplyDelete
  70. Im called erick john and I am a driver with an experience not less than ten years old with the experience of large cars such as trailers and dams my number 0752242000

    ReplyDelete
  71. Kwa majina naitwa Richard mohamedi moshi ninaumri wa miaka 24 nimehitimu kidato cha nne vile nilijiunga na veta nikahitimu mafunzo ya welding (uundaji wa vyuma) kwa mawasiliano 0714125686

    ReplyDelete
  72. Habari kwa majina naitwa Fabian David Mathias ni muhitimu wa ngazi ya stashahada ya utunzaji wa kumbukumbu katika chuo cha utumishi wa umma tawi la Dar es salaam kutoka na uzoefu wangu nitaweza kufanya kazi
    Kwa mawasiliano 0713854015

    ReplyDelete
  73. Habar,Naitwa Lucy Sospeter ni mtanzania mwenye umri wa miaka 21 pia nimehtimu kidato cha sita hivyo ninaweza kufanya kazi kama receptionist nitashukuru endapo ombi langu litakubalika.

    Kwa mawasiliaono zaid namba zangu ni hizi 0713192043

    ReplyDelete
  74. Habari, kwa majina naitwa ABALHASANI ELIASA JUMA nimehitimu mafunzo ya ufundi umeme (VC II) katika chuo cha ufundi stadi VETA-MANYARA na nina cheti cha kidato cha nne, ninauzoefu na kazi hii ya ufundi nishafanya kazi tanesco manyara. Ni naimani mkinipatia nafasi hii ntafanya kazi kwa juhudi zangu zote Asante,
    0621042295, 0762073980

    ReplyDelete
  75. Naitwa FABIAN ANDREW HOKORORO, nina umri wa miaka 30, nimehitimu mafunzo ya udereva BISIC DRIVING SCHOOL VICTORY DRIVING SCHOOL DARESALAAM, na nimehitimu mafunzo ya VIP NIT GRADE TWO, tawi la dodoma,nipo tayari kufanya kazi.nina uzoezfu wa miaka 10,

    ReplyDelete
  76. Naitwa FABIAN ANDREW HOKORORO, ni dereva, nina umri wa miaka 30, nimehitimu mafunzo ya udereva BASIC DRIVING SCHOOL DARESALAAM, na nimehitimu mafunzo edereva wa VIP NIT GRADE TWO DODOMA, nipo tayari kufanya kazi,

    ReplyDelete
  77. Naitwa FABIAN ANDREW HOKORORO, mwenye umri wa miaka 30, ni DEREVA, nimemalizi mafunzo ya udereva NIT course ya VIP GRADE TWO, ni MTANZANIA, nimatumaini yangu kuwa ombi langu litajibiwa,

    Mawasiliano

    0621101040
    0656322429

    ReplyDelete
  78. Kwa majina naitwa ABDUL SIMON AYUBU, nimesomea ufundi sanifu maabara (diploma in laboratory technology) chuo kikuu cha kilimo SUA, Naombeni kupatiwa nafasi ya Nazi kama ipo itakayoendana na taaluma yangu,
    mawasiliano 0769770981 / 0789487422

    ReplyDelete
  79. Kwa majina naitwa ABDUL SIMON AYUBU, nimesomea ufundi sanifu maabara (diploma in laboratory technology) chuo kikuu cha kilimo SUA, Naombeni kupatiwa nafasi ya Nazi kama ipo itakayoendana na taaluma yangu,
    mawasiliano 0769770981 / 0789487422

    ReplyDelete
  80. Habari
    Mm naitwa koiles Jackson dimbwe nimtanzania Nina umri wa miaka 25 naomba kazi Nina fani Kama ifuatavyo udereva nimesoma jkt mgulani (dsm) Nina uzoefu miaka 4
    Ni fundi bomba nimesoma veta chang'ombe Nina udhoefu miaka mitatu na hiii kazi naamini maombi yangu yatakubaliwa na naamini nitakuwa msaada kwa campun yangu

    By
    dimbwefamili@gmail.com

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mawasiliano
      0713472938
      0742151450
      dimbwefamili@gmail.com

      Delete
  81. Naitwa Erneus kaijage Sweetbert, naomba kazi mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 22 ni mkazi wa Kagera elimu yangu ni kidato cha nne nimesoma ICT katika chuo cha utumishi wa umma Tanzania tawi la tabora.

    Mawasiliano
    0755817679
    au
    eleneusswitbert@gmail.com

    ReplyDelete
  82. Kwa majina naitwa Mengi Ruhotola ni mtanzania harisi mwenye umri wa miaka 19 sasa mkazi wa Kibondo Kigoma elimu yangu ni kidato cha nne ngazi ya cheti nimehitimu mafunzo ya udereva chuo cha Mwanza Veta na kupata leseni yangu ya udereva.
    Ninaomba kazi hiyo ya udereva kwani umakini na uzoefu wa kazi hiyo ninao. Nitashukuru endapo ombi langu litakubalika
    Simu namba +255768348596/+255623356017 email:ruhotoramengi6@gmail.com Twitter: @ruhotola

    ReplyDelete
  83. Habari kwa majina naitwa deogratius William Henry ni mtanzania wa miaka 26 ninafani ya manunuzi na ugavi ngazi ya cheti nilioipata katika chuo cha uhasibu Tanzania ninaomba nafasi hiyo nitashukuru endapo ombi langu litakubaliwa.mawasiliano 0716623216,email deogratiusw22@gmail.com

    ReplyDelete
  84. Kwa majina naitwa LIGHTINESS KOSMA AUGUST.Nimschana mwenye umri wa miaka 21,nimehitimu kidato cha nne mwaka 2015 ,pia ni mehitimu corse ya COMMONITY HEALTH WORK 2017.Natumaini ombi langu litapokelewa
    Simu namba:0743174579
    0678867768

    ReplyDelete
  85. Am Anna Alphonce am a Tanzanian girl my 26 years old I have a diploma in business administration am apply a Administrative officer
    Thanks

    ReplyDelete
  86. habari naitwa peter mhina naishi daresalaam nina ujuzi wa madawa ngazi ya cheti (pharmaceutical techniciun) nimesoma chuo kinachoitwa city college of health and allied science kilichopo kigamboni (DSM) naomba nafasi, asante namba-0754396649

    ReplyDelete
  87. Anna Alphonce am a Tanzanian girl my age 26 years old I have a diploma in business administration am happy to apply administrative officer
    Thanks
    My contact 0765 736868
    My e mail address annandeleyabandi@gmail.com

    ReplyDelete
  88. Jidayi G Butunga, fani uselemala, miaka 27, elimu form 4, naomba nafasi 0765792850

    ReplyDelete
  89. Habari naitwa nyabazenda Matengane ni mtanzania halisi nimehitimu certificate of Record Management ktk chuo cha utumishi wa umma Tanzania naomba nafasi ya kazi ktkt fani hii.Mawasiliano yangu ni 0769150270.
    Asante

    ReplyDelete
  90. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  91. Habari naitwa nyabazenda Matengane ni mtanzania halisi nimehitimu certificate of Record Management ktk chuo cha utumishi wa umma Tanzania naomba nafasi ya kazi ktkt fani hii.Mawasiliano yangu ni 0769150270
    Asante

    ReplyDelete
  92. Habari naitwa nyabazenda Matengane ni mtanzania halisi nimehitimu certificate of Record Management ktk chuo cha utumishi wa umma Tanzania naomba nafasi ya kazi ktkt fani hii.Mawasiliano yangu ni 0769150270.
    Asante

    ReplyDelete
  93. Habari naitwa nyabazenda Matengane ni mtanzania halisi nimehitimu certificate of Record Management ktk chuo cha utumishi wa umma Tanzania naomba nafasi ya kazi ktkt fani hii.Mawasiliano yangu ni 0769150270.
    Asante

    ReplyDelete
  94. Mm ni kijana wa kitanzania mwemye umri wa miaka 26.nimehitimu kidato cha NNE mwaka 2013,pia Nina chet cha utawala wa biashara (business Administration) .Nina fani ya ufund wa rangi za nyumba .
    Natumain ombi langu litashughulikiwa
    Wako katika kujenga taifa
    Nuru Brown Mlotwa
    N.Mlotwa
    Mawasiliano said 0766464109 Mbeya Tanzania.

    ReplyDelete
  95. My name is khamis abdallah khamis my education level is diploma in community development I graduate in the local government training institute (HOMBOLO ) so I need any position in our organization and I have an age twenty three years 23 my phone contact 0673771553/ 0689611040

    ReplyDelete
  96. Habari naitwa khamis abdallah khamis no kijana mwenye umri was miaka ishirini na tatu na sijaoa Nina elimu ya stashahada na shahada ya maendeleo ya jamii nimemalizia katika chuo cha serikali za mitaa hombolo yani ( local government training institute LGTI ) naombeni Nazi ninauzoefu was kufanya kazi mbali mbali nimefanya kujitolea utendaji na finca pia cdf nipo Tatar kufanya kaz yeyote ahsanteni nakutakieni kaz njema mawasiliano 0673771553/0689611040

    ReplyDelete
  97. Please, am in great pleasure to take this unique opportunity,asking for the employment as a Driver with driving license of A, B, C1,C2,C3,D and E classes from VETA Arusha,My name is Eliud Philemon Ayo,I am Tanzanian with 28 years old,I have four years experience in tourism activities,Form four education level,Meru,Swahili and English languages speaking.
    With thanks, hope to hear from you Sympathetically.Your faithfully Eliud Ayo. 📱 0753663160/0742413967.

    ReplyDelete
  98. Please, am in great pleasure to take this unique opportunity,asking for the employment as a Driver with driving license of A, B, C1,C2,C3,D and E classes from VETA Arusha,My name is Eliud Philemon Ayo,I am Tanzanian with 28 years old,I have four years experience in tourism activities,Form four education level,Meru,Swahili and English languages speaking.
    With thanks, hope to hear from you Sympathetically.Your faithfully Eliud Ayo. 📱 0753663160/0742413967.

    ReplyDelete
  99. Please, am in great pleasure to take this unique opportunity,asking for the employment as a Driver with driving license of A, B, C1,C2,C3,D and E classes from VETA Arusha,My name is Eliud Philemon Ayo,I am Tanzanian with 28 years old,I have four years experience in tourism activities,Form four education level,Meru,Swahili and English languages speaking.
    With thanks, hope to hear from you Sympathetically.Your faithfully Eliud Ayo. 📱 0753663160/0742413967.

    ReplyDelete
  100. Please, am in great pleasure to take this unique opportunity,asking for the employment as a Driver with driving license of A, B, C1,C2,C3,D and E classes from VETA Arusha,My name is Eliud Philemon Ayo,I am Tanzanian with 28 years old,I have four years experience in tourism activities,Form four education level,Meru,Swahili and English languages speaking.
    With thanks, hope to hear from you Sympathetically.Your faithfully Eliud Ayo. 📱 0753663160/0742413967.

    ReplyDelete
  101. Please, am in great pleasure to take this unique opportunity,asking for the employment as a Driver with driving license of A, B, C1,C2,C3,D and E classes from VETA Arusha,My name is Eliud Philemon Ayo,I am Tanzanian with 28 years old,I have four years experience in tourism activities,Form four education level,Meru,Swahili and English languages speaking.
    With thanks, hope to hear from you Sympathetically.Your faithfully Eliud Ayo. 📱 0753663160/0742413967.

    ReplyDelete
  102. Actually my name is Clement S Dogoria am a Tanzanian boy of 25 years old. My level education is form 4,I have qualified Clearing and forwarding course since 2017.I kindly apply for the job to this organization I have an experience of record management.I hope my request will be considered.
    0678236423
    0686858973

    ReplyDelete
  103. Habari naitwa Leyla ni mtanzania mwenye umri wa miaka 23,elimu yangu Ni kidato cha nne,naomba nafasi ya kazi katika shirika lako,Nimesoma fani ya hotel kwa mwaka mmoja na ninaweza kufanya kazi Kama receptionist,pia nimesoma kozi ya uuguzi kwa miaka miwili.Ntashkuru Kama ntapata nafasi katika shirika lako.wako mtiifu Leyla Juma.mawasiliano 0752565195

    ReplyDelete
  104. Habari naitwa Ester Mimi ni muhitim wa kidato Cha nne nimesomea mambo ya medical attendant naomba mnisaidie nipate kazi

    ReplyDelete
  105. Habari naitwa Ester Mimi ni muhitim wa kidato Cha nne nimesomea mambo ya medical attendant naomba mnisaidie nipate kazi, mawasiliano 0763987414,0655234794

    ReplyDelete
  106. Hi my name is Living p kimath i would like to see opportunity of these job so i have experience of tourism assistant for one years
    I hope thise position will accepted.
    My contact 0710233777
    Or 0743916112

    ReplyDelete
  107. Kwa jina naitwa nickson john nyasulo nina miaka 24 nina elimu ya ufundi umeme daraja la pili namba yangu ya cm 0719166714 au 0653748338

    ReplyDelete
  108. Please, I am in great pleasure to take this unique opportunity,looking for the employment opportunity as a driver in your Esteemed organisation,My name is Eliud Philemon Ayo,Tanzanian youth with 28 years old, with experience in tourism activities as a driver, Form four education level.With thanks, Hope to hear from you Sympathetically'.📱 0753663160/0742413967.

    ReplyDelete
  109. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  110. Naitwa majaliwa Elias msafili miaka 21 kidato cha NNE fani udereva pia Nina elimu ya mafunzo ya ufugaji nyuki kutoka chuo cha mafunzo ya ufugaji nyuki Tabora natumaini maombi yangu yatajibiwa vizur mawasiliano 0744509361 address majaliwakaseke60 @gmail.com

    ReplyDelete
  111. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  112. Kwa majina naitwa pendo eras to kulumbila Nina miaka 23 elimu ni kidato cha nne fani yangu uuguzi na ukunga ngaz ya cheti ninaomba nafasi ya kazi katika shirika lenu,natumain ombi langu litakubariwa namba yangu ni 0754766747 asante

    ReplyDelete
  113. Kwa majina naitwa Grayson yonas mbawala,Mimi ni kijana mtanzania Nina umri wa miaka 25.Nina fani ya udereva pia kuchomelea vyuma.Elimu yangu ni ya kidato cha nne Niko tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile,Natanguliza shukran zangu za dhati endapo ombi langu litakubaliwa,wako mtiifu katika kazi Grayson yonas mbawala.kwa mawasiliano 0658145609 na 0768145609

    ReplyDelete
  114. Majina naitwa Stephen mAtin isingo
    certificate olevel
    Certificate tour guide
    NIT driver
    Lecen c1c2c3
    Napenda kutumia nafasi hii kuomba kazi naumri wamiaka 27
    Mkazi Arusha
    Fani dereva napenda kutumia nafasi hii kuomba kazi kwenu ntashukuru kama ntafanikiwa kupata kazi wenu katika kazi Stephen Martin
    Mawasiliano
    0766300226
    071890660

    ReplyDelete
  115. Naitwa Irene Geoffrey kaaya no mtanzania Nina umri wa miaka 25 ninaelimu ya kidato cha NNE na elimu ya secretarial na ninauzoefu wa secretarial course na reseptionilst Nina uzoefuwa kaz kwa miaka 2 naomba kazi officin kweako mawasiliano 0715127082 0752884532 hasante

    ReplyDelete
  116. Hi my name is Elisha Nziku age 20 my education level is diploma of environmental science and management I can do environmental officers more details please contact me through this number
    0717533061

    ReplyDelete
  117. Habari kwama jina naitwa ALLY ABDALA MSUYA NINA UMRI MIAKA 21 FANI YANGU NI PROCUREMENT AND LOGISTICS KATIKA CHUO CHA TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY MBEYA MUITIMU WA CERTIFICATE NA DIPLOMA YA KWANZA
    0764814840

    ReplyDelete
Previous Post Next Post

Expresstz Jobs Centre