
NAFASI 208 Za Kazi Selia Security Group Limited
Kampuni ya Selia Security Group Limited inatangaza nafasi 208 Za Kazi Kwa watu wenye sifa stahiki kujaza zifuatazo hapa chini.
Walinzi (Nafasi 200)
Recommended:
SIFA ZA MUOMBAJI
- Elimu: Kidato cha Nne
- Umri: 18-45
- Urefu: 5’6″ (168cm)
- Afya nzuri
- Awe raia wa Tanzania
- Hana kesi ya jinai
- Mafunzo ya JKT,Mgambo, Polisi, Au Uzoefu Kufanya Kazi Katika Kampuni (certificate)
Mtaalamu wa Nyaraka za Zabuni (2)
SIFA ZA MUOMBAJI
- Shahada ya Ununuzi/Management
- Uzoefu wa miaka 3+
- Ujuzi wa sheria za zabuni Tanzania
- Ujuzi wa kompyuta (MS Office, tender systems)
Wasimamizi wa Ulinzi (4)-Security Supervisor
SIFA ZA MUOMBAJI
- Diploma ya Usalama/Utawala wa Sheria
- Uzoefu wa miaka 4+ kama msimamizi
- Ujuzi wa uongozi na usimamizi
- Mafunzo ya JKT,Mgambo, Polisi, Au Uzoefu Kufanya Kazi Katika Kampuni (certificate)
Wasimamizi wa Usafi (2)- Cleaning Supervisor
SIFA ZA MUOMBAJI
- Cheti cha Usafi
- Uzoefu wa usimamizi usafi miaka 3+ Kutoka katika makampuni ya usafi
Read Also:
Tuma maombi yako kabla ya 31/12/2025 kwenda:
ANUANI
AFISA MWAJIRI
SELIA SECURITY GROUP LTD,
S.L.P 996,
DAR ES SALAAM.
– Email: seliagroupltd@gmail.com
– Ofisi ya Mbeya Maghorofani (+255652160002)
– Ofisi ya Dar es Salaam: Jengo la CCM Mkoa, Mtaa wa Ukami Kariakoo Ghorofa ya 05 Chumba Namba. 505 (+255692891032)
Zingatia; Tuma wasifu wako, vyeti vya taaluma na uzoefu au fikisha ofisini kama ilivyoelekezwa kwenye Tangazo